Home » » TAZAMA PICHA TOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU LANGA MDA HUU

TAZAMA PICHA TOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU LANGA MDA HUU



Hapa ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah



Ni Nyumban kwa Marehem Langa hapa Kalapna akmuongelea Mwana hiphop Mwenzie Marehem Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alkuwa Mwanahiphop aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.RIP Langa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

tafsiri hapa

watembeleaji wetu

zilizosomwa zaidi