SHILOLE NA HOFU YA KUROGWA "WASANII TUNAMALIZA WENYEWE"



MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, suala la wasanii wa muziki kurogana linamuumiza kichwa kiasi cha kufikiria kuachana na kazi hiyo.
Akichonga na paparazi wetu pasipo kuwataja ‘wabaya’ wake, Shilole alisema hivi sasa ‘kesi’ za wasanii kurogana zimeshika kasi kuliko siku za nyuma na anashindwa kuelewa ni kwa nini watu wanamuasi Mungu kwa kuendekeza ushirikina.
“Kwa staili hii wasanii tutazidi kupukutika, kuna wakati huwa nafikiria hata kuachana na muziki maana tunarogana na namuomba Mungu usiku na mchana hata kabla ya kupanda stejini kwani hali ni tete,” alisema Shilole.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA ANTI EZEKIEL WA BONGO MOVIE






https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9uoV0ZG5PBa8GtM3BoGHxWCzufFgVJ3aBPKWP4DiFt2Ui2h3NpL4jrIoEVGDr_d0Rusf9Znpc5wx8tJt3Ir0CnNVU1uNTEj2lb2LA_p8MF5YnmN1zmx3l-7gIif2W-OAo6Qid1M5L9d3H/s1600/ANTI.jpg

HAMMER Q AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSIANA NA MAPRESENTER WAPENDA HELA NA KUHUSU WASANII KUTHAMINIKA WAKISHAKUFA. SOMA HAPA ALICHOKISEMA



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiv7gXE2wtyOOk_knEIcz42DDFLZNRpUtppwUrsXTUGu3ippwibSzDLKJpyyU-RrUowjnlZfOXZIUwMN-cizKE0lSXIRrOvFybXOZUb4SCccjYm7XDknhWBEDyOFeBOQKTapQ2SH5SxAHaO/s400/052.JPGwasanii tunafanya kazi ili tupate maslahi na tufaidi matunda ya mziki kabla hatujakata roho kabla hatujafumba macho lkn hakuna kitu km hicho kwa sasa mziki wa bongo bila ya kuhonga pesa umekuwa mgumu na km ukitaka promo ya bure inabidi usubirie siku ukifa , ninajitahidi kufanya kazi mpya na kupeleka radio lkn haziskikii kuna baadhi ya watangazaji hupiga kzi kwa moyo mmoja kwa kujua uwezo wangu wa kazi (big up kwao) wengine nahisi watakuwa wanazihifadhi chumba maalum mpaka siku nitakapokata roho ndo zitaskika kila sekunde na hata mtangazaji ambae hajawahi kutaja hata jina langu basi siku hiyo ataniandalia kipindi maalum kitakachonizungumzia mimi,, na kazi zangu zitaskika mpaka zilizokuwa hazijawahi kuskika kiukweli baadhi ya watangazaji hamtufanyii pw wasanii, mfano jana nimesambaza nyimbo mpya niliofanya na wife wangu lkn cha kuniskitisha unaenda sehem mtu anakudai hela live hajiulizi kichwani mara mbili kwamba huyu kijana mwenzangu na hii ndo kazi yake bila ya kuipiga hawezi pata hela au munahisi tunakisima cha hela?? ,unajisahau kuwa ww unamshara hapo kazini lkn mimi sina mshara kama hujapiga kazi yangu, hiki kilio sio changu peke yangu wengi wanalia mpaka wengine wanaamua kukimbia nchi,wengine wanakua pusha inafika wakati tuhurumiane km binaadam,nimesoma kupitia misiba ya wasanii wenzangu kwamba ukikata roho unapata promo ambayo ulipokuwa hai hukuipata nimeona nije na mbinu m,badala , mbinu ambayo itafanikishwa na mashabiki wangu na marafiki zangu na kila mtu anaependa kazi zangu,;;,, mda wowote , siku yeyote , sekunde yeyote nikikata roho mwenyezimungu atakapochukua uhai wake basi dj yyt ambae unaona alikuwa hapigi kazi zangu nilipokuwa hai basi mfateni huyo dj na alipie laki mbili hapo hapo kwa kila atakapopiga kazi yangu na akiniandalia kipindi maalum alipie milioni moja, zoezi hili liwe kwa mda wote wa maombolezi yangu , na hela itakayopatikana hapo igawanywe mara mbili nusu iende kwa familia yangu na nusu ipelekwe ktk vituo vya kulelea watoto yatima 7bu nina malengo ya siku nyingi kuanzisha kituo cha kulelea watoto yatima ,lkn hayajatimia 7bu kazi haiendi vizuri ,, inafika hatua siku hizi tunasambaza kazi zetu kwa madereva boda boda na wanaochoma cd na kutumiana whatsapp na bbm ila baadhi ya radio mpaka uwe na mtu(kujuana) au mkwanja kwenye meza, nilishawahi kwenda radio moja nikaambiwa ili kazi yangu isimame niweke milioni kwenye meza kisha shuguli yote niwaachie wao hapo wananambia hivyo najua ,wenyewe mfukoni nipoje kwanza asubuhi yenyewe nimekopa mihogo miwili kwa mama miki anadai mia mbili na kufika hapo radio nilipata lifti kwa swaiba wangu @amoc b hokororo na msosi wa mchana sijaujuwa bado ,unafkiri milioni moja ntaitowa wapi basi waliponambia hivyo nikarudi na kazi yangu nyumbani kilichobaki nawatumia masela wangu kwenye whatsapp tu mpaka ss nimeamua sifanyi mziki kimaslahi cos hakuna sasa hivi nafanya mziki 7bu naupenda na nina albam 3 naskiliza maskani na masela wangu **jali kazi yangu nikiwa bado nipo hai
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

MAOMBI YA WAKENYA YAFANYA KAZI, OBAMA AFUTA SAFARI YAKE YA KUJA TANZANIA. SOMA SABABU HAPA




US President Barack Obama and First Lady Michelle Obama wave to supporters after delivering remarks during a campaign event in Davenport, Iowa. The White House has cancelled a safari that President Obama and  Michelle were due to take in Tanzania over budgetary concerns, The Washington Post reported June 13, 2013. FILE
The WhiteHouse has cancelled a safari that US President Barack Obama and his wife Michelle were due to take in Tanzania over budgetary concerns, The Washington Post reported Thursday.
The newspaper, citing a Secret Service planning document, said the excursion scheduled during a tour of Africa that Obama will undertake later this month would have required agents protecting him to take extraordinary precautions.
The safari "would have required the president's special counterassault team to carry sniper rifles with high-calibre rounds that could neutralise cheetahs, lions or other animals if they became a threat," the paper reported.
Outlining the vast security preparations made for Obama's trip to Senegal, Tanzania and South Africa, the document was provided to the Post by a person "concerned about the amount of resources necessary for the trip."
It did not provide cost information.
The Post said the WhiteHouse cancelled the safari Wednesday after the paper inquired about the "purpose and expense." The Obamas had been expected to spend more than two hours at Tanzania's Mikumi National Park.
The WhiteHouse was not immediately available for comment, but a spokesman told the Post that a trip to South Africa's Robben Island, the site of the prison where anti-apartheid hero Nelson Mandela was held, had taken precedence.
"We do not have a limitless supply of assets to support presidential missions, and we prioritised a visit to Robben Island over a two-hour safari in Tanzania," said the spokesman, Josh Earnest.
"Unfortunately, we couldn't do both."
The Post said Obama's Africa tour, his first since taking office in January 2009, could cost the government between $60 million and $100 million, based on cost of similar trips in recent years.
The report comes as many government agencies struggle with mandatory budget cuts that took effect in March because US lawmakers failed to strike a wider budget deal.
Hundreds of Secret Service agents will be dispatched for the president's visit, along with a Navy aircraft carrier or amphibious ship, with a fully staffed medical trauma centre stationed offshore, the report said.
Dozens of vehicles will also be brought to the three countries by military transport planes, along with sheets of bulletproof glass to cover the windows of the hotels where the Obamas stay.
"Fighter jets will fly in shifts, giving 24-hour coverage over the president's airspace," the report said, citing the Secret Service document.

CHANZO : DAILYNATION KENYA
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

OMMY DIMPOZ AELEZA SABABU YA GLOBAL PUBLISHERS KUMCHAFUA. SOMA HAPA



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgOXAi0iKWym5YRT7ke2SbXZSiXhUgpKDsg3J7eRSfpiBXYHWecwQgJj0W8seqHlaRy0T3iS6Yx7t1N8EqfetFur4UAeelhtJ9Q6bK3nliS1-0MTq4TgMk9TGUmZauGz_4YmJUpK22T0Yo/s1600/ommy.jpg 
ANASEMA KUA ALIPIGIWA SIMU YA KIBIASHARA KWA AJILI YA KUFANYA SHOW NA GLOBAL PUBLISHERS KWA SABABU HAWAKUFIKIANA KWENYE MALIPO NDO WAMEAMUA KUMCHAFUA. TAZAMA PICHA YA KILICHOANDIKWA NA GLOBAL PBLISHERS HAPA 
http://millardayo.info/wp-content/uploads/2013/06/DSC06444.jpg
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

TAZAMA PICHA TOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU LANGA MDA HUU



Hapa ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah



Ni Nyumban kwa Marehem Langa hapa Kalapna akmuongelea Mwana hiphop Mwenzie Marehem Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alkuwa Mwanahiphop aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.RIP Langa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

KURASA ZA NGONO ZAZIDI ONGEZEKA FACEBOOK, HIZI NDO ZENYE WATU WENGI ZAIDI




Unaikumbuka blog ya Ze Utamu ilivyokuwa maarufu enzi hizo? Kama ingekuwepo hadi leo tunaamini ingekuwa blog inayosomwa pengine kuliko zotenchini. Bahati mbaya ama nzuri blog hiyo ilifungwa kitambo na mmiliki kukiona cha mtema kuni baada ya polisi wa kimataifa kumkamata na Mungu ndio anajua mtuhuyo yuko wapi sasa hivi.

Lakini sasa hivi wakati ambao mitandao ya kijamii kama Facebook imejipatia umaarufu nchini, kuna makundi ama kurasa zimefunguliwa na kujipatia umaarufu mkubwa.

Kurasa hizo hazina tofauti sana na yaliyokuwa maudhui ya blog ya Ze Utamu. Kile kinachoandikwa na picha zinazowekwa ni za ngono zaidi. Picha nyingi zinazoonekana ni za wanawake walionusu uchi ama uchi kabisa ambazo nyingi zimekuwazikipata maoni mengi kutoka watu waliojiunga na kurasa hizo.

Kwa sasa kurasahizo za ngono zimekuwa maarufu kiasi cha kuanza kuzizidi hata zile zinazozungumzia masuala ya muhimu kama vile siasa nk.

Ni ukweli usiopingika kuwa ngono huvuta hisia za wengi, lakini swali ni Je! Kuongezeka kwa umaarufu wa makundi haya kwenye mtandao wa Facebook ambao lengo lake lilikuwa ni kuwakutanisha marafiki na jamaa na kufahamu mengi yanayoendelea katika maisha na pia makampuni makubwa yakiutumia mtandao huo kama njia ya kuwasiliana na wateja, kunaifanya Facebook iwe mtandao usio na maadili kuliko mingine kama Twitter? 

Je huu ni mwanzo wa mtandao huo kuchimbiwa kaburi na watumiaji wake?

Tunachaane na hayo na sasa tukupe fursa ya kuzifahamu kurasa hizo zilizo maarufu zaidi nchini.

1. Jicho la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.

Maelezo: Katika mwili wako wote ,.. jaribu sana kulitunza Jicho.



2. Bongo Hotties (Hot o Not)

Maelezo: Feel free to inbox us if u want ur pic 2 b posted here.. Only Hotties




3. Universal Tanzanian jokes

Maelezo: it's all about jokes and nude photos



4. YaNi UtAmU UnAkUjA . YaNi UtAmU UnAkAtA



5. Kijiwe Cha Story Za Wakubwa



6. Karibu Upate Utamu

Likes 1,713 


7. Malaya Sinza

Maelezo: KARIBU UCHAT NA MIMI NA UJUE MAMBO MENGI YA KIMAISHA HASA YANAYOHUSU STAREHE.
JIPATIE HUDUMA ZIFUATAZO:

1. Kujua njia mbalimbali za kufanya mapenzi








TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

tafsiri hapa

watembeleaji wetu

zilizosomwa zaidi