Home »
makala mbalimbali
,
udaku
» HAMMER Q AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSIANA NA MAPRESENTER WAPENDA HELA NA KUHUSU WASANII KUTHAMINIKA WAKISHAKUFA. SOMA HAPA ALICHOKISEMA
wasanii
tunafanya kazi ili tupate maslahi na tufaidi matunda ya mziki kabla
hatujakata roho kabla hatujafumba macho lkn hakuna kitu km hicho kwa
sasa mziki wa bongo bila ya kuhonga pesa umekuwa mgumu na km ukitaka
promo ya bure inabidi usubirie siku ukifa , ninajitahidi kufanya kazi
mpya na kupeleka radio lkn haziskikii kuna baadhi ya watangazaji hupiga
kzi kwa moyo mmoja kwa kujua uwezo wangu wa kazi (big up kwao) wengine
nahisi watakuwa wanazihifadhi chumba maalum mpaka siku nitakapokata
roho ndo zitaskika kila sekunde na hata mtangazaji ambae hajawahi kutaja
hata jina langu basi siku hiyo ataniandalia kipindi maalum
kitakachonizungumzia mimi,, na kazi zangu zitaskika mpaka zilizokuwa
hazijawahi kuskika kiukweli baadhi ya watangazaji hamtufanyii pw
wasanii, mfano jana nimesambaza nyimbo mpya niliofanya na wife wangu lkn
cha kuniskitisha unaenda sehem mtu anakudai hela live hajiulizi
kichwani mara mbili kwamba huyu kijana mwenzangu na hii ndo kazi yake
bila ya kuipiga hawezi pata hela au munahisi tunakisima cha hela??
,unajisahau kuwa ww unamshara hapo kazini lkn mimi sina mshara kama
hujapiga kazi yangu, hiki kilio sio changu peke yangu wengi wanalia
mpaka wengine wanaamua kukimbia nchi,wengine wanakua pusha inafika
wakati tuhurumiane km binaadam,nimesoma kupitia misiba ya wasanii
wenzangu kwamba ukikata roho unapata promo ambayo ulipokuwa hai
hukuipata nimeona nije na mbinu m,badala , mbinu ambayo itafanikishwa na
mashabiki wangu na marafiki zangu na kila mtu anaependa kazi zangu,;;,,
mda wowote , siku yeyote , sekunde yeyote nikikata roho mwenyezimungu
atakapochukua uhai wake basi dj yyt ambae unaona alikuwa hapigi kazi
zangu nilipokuwa hai basi mfateni huyo dj na alipie laki mbili hapo
hapo kwa kila atakapopiga kazi yangu na akiniandalia kipindi maalum
alipie milioni moja, zoezi hili liwe kwa mda wote wa maombolezi yangu ,
na hela itakayopatikana hapo igawanywe mara mbili nusu iende kwa familia
yangu na nusu ipelekwe ktk vituo vya kulelea watoto yatima 7bu nina
malengo ya siku nyingi kuanzisha kituo cha kulelea watoto yatima ,lkn
hayajatimia 7bu kazi haiendi vizuri ,, inafika hatua siku hizi
tunasambaza kazi zetu kwa madereva boda boda na wanaochoma cd na
kutumiana whatsapp na bbm ila baadhi ya radio mpaka uwe na mtu(kujuana)
au mkwanja kwenye meza, nilishawahi kwenda radio moja nikaambiwa ili
kazi yangu isimame niweke milioni kwenye meza kisha shuguli yote
niwaachie wao hapo wananambia hivyo najua ,wenyewe mfukoni nipoje kwanza
asubuhi yenyewe nimekopa mihogo miwili kwa mama miki anadai mia mbili
na kufika hapo radio nilipata lifti kwa swaiba wangu @amoc b hokororo na
msosi wa mchana sijaujuwa bado ,unafkiri milioni moja ntaitowa wapi
basi waliponambia hivyo nikarudi na kazi yangu nyumbani kilichobaki
nawatumia masela wangu kwenye whatsapp tu mpaka ss nimeamua sifanyi
mziki kimaslahi cos hakuna sasa hivi nafanya mziki 7bu naupenda na nina
albam 3 naskiliza maskani na masela wangu **jali kazi yangu nikiwa bado
nipo hai
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment