-
Home »
makala mbalimbali
,
siasa
» MBUNGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI KUMI, HILI NDO KOSA ALILOFANYA
MBUNGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI KUMI, HILI NDO KOSA ALILOFANYA
Posted by Unknown
Posted on 3:45 AM
with No comments



![[ GUSHIT NEWZZZZZZZZ...!!! ]
MBUNGE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI KUMI, HILI NDO KOSA ALILOFANYA
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM) amehukumiwa kifungo cha miezi 10 baada ya kupatikana na hatia ya kutishia kuua, Mbunge huyo (51) alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Oktoba 10, mwaka jana akidaiwa kutishia kumuua Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ruiwa, Mbarali, Bw. Jordan Masweve.](https://fbcdn-sphotos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/p320x320/375626_522823951087458_1830430226_n.jpg)

0 comments:
Post a Comment