Home » » NISHER AFUNGUKA NA KUTOA SIRI KUBWA SANA JUU YA VIDEO YA JIKUBALI ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI

NISHER AFUNGUKA NA KUTOA SIRI KUBWA SANA JUU YA VIDEO YA JIKUBALI ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI





Hii ni exclusive interview imefanywa toka Fresh120 Media , Nisher ameamua kufunguka na kuamua kuzungumzia juu ya utengenezaji wake wa video kuanzia mfumo mzima wa utengenezaji , matayarisho na pia Idea kubwa ya yeye kufika hapo alipo sasa,
Pia Nisher amewezakuzungumzia juu ya comments ambazo zimekuwa changamoto kwake , amechambua kwanini ana mfumo wake wa kipekee katika utengenezaji wa Video . 
Pata kusikia Mahojiano Toka kwa Nisher na Mdau wa Fresh120Media

0 comments:

Post a Comment

tafsiri hapa

watembeleaji wetu

zilizosomwa zaidi